Tackling youth unemployment in the coastal region through empowerment skills


Shirika la kijamii la Human Development Agenda linapunguza uhalifu na mzozo unaotokana na vijana kukosa ajira kwa kuwapa ujuzi ili waweze kujitegemea kwa jamii. Kwa muda wa miezi sita hadi minane, vijana hususan wenye hawana kazi ya kufanya wanapewa ushauri nasaha na mafunzo ya kuwasaidia kujikimu kimaisha kama somo la biashara. Tayari vijana zaidi ya 130 wamewezeshwa.

Related Stories