Rehabilitation of Yatta Canal Helping increase access to water downstream


Kukarabatiwa kwa mtaro wa maji wa Yatta na serikali ambao uko na ukubwa wa kilomita 50 umeongeza uwezo wa upatikanaji wa maji kwa wakazi wa Yatta kaunti ya Machakos.Maji hutoka mto Thika kaunti jirani ya Kiambu,kisha kutiririka kupitia mtaro huo hadi kaunti ya Machakos. Mtaro huo umekarabatiwa kwa kujengewa kuta kandokando kwa kutumia saruji ili kuzuia kuziba kwa mtaro huo.

Related Stories