Omega 3 oil from fish waste


Kikundi cha vijana 4 kutoka kaunti ya Kisumu wanatengeneza mafuta ya kupikia kwa kutumia mabaki/uchafu wa samaki. Uchafu huo unachukuliwa kutoka soko la Jubilee na soko la samaki lililoko Obunga kisumu na kupeleka katika kiwanda chao cha kutengeneza mafuta hayo.Kilo moja ya matumbo ya samaki ina uwezo wa kuzalisha milimita 600 ya mafuta ya omega 3.

Related Stories