How building toilets helped Embu county manage Cholera PART 1


Uchimbaji wa vyoo na kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kujenga na kutumia vyoo kumesaidia kuangamiza ugonjwa wa kipindupindu kaunti ya Embu.Idara ya afya inatumia madaktari wa nyanjani wakujitolea kuelemisha watu umuhimu wa kujenga na kutumia choo kwa njia nzuri.Wanahakikisha kuwa kila boma limejenga angalau choo kimoja.

Related Stories