How building toilets helped Embu county manage Cholera Part 2


Ili kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu, zaidi ya kuhimiza wakaaji kujenga choo, kaunti ya Embu pia inaelimisha wanakijiji kutumia choo na kukuwa wasafi kupitia wanafunzi, viongozi wa vijiji na madaktari wa nyanjani. Kupitia mbinu hizi idara ya afya imeweza kupunguza kesi za kipindupindu.

Related Stories