Agriculture Helping to Fight Stigma and Discrimination associated wth HIV-Part 1


Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yamejitolea kuwainua kimaisha na kuwafunza ukulima vikundi vya watu wanaouguwa ugonjwa wa ukimwi kaunti ya Kakamega.Hii ni baada ya waathiriwa hao kuja pamoja kutiana moyo baada ya kuhisi kutengwa na jamii.Mashirika hayo yanawafunza mbinu za kisasa za ukulima zinazowapatia mazao ambayo wanaweza kuuza na kupata pesa za kujikimu kimaisha.

Related Stories