Artwork stating 'Education Destroys Barriers', 'We Demand Treatment', and 'I Need A Chance'

Search Results

You searched for: -

There are 22 results  for your search.  View and Refine Your Search Terms

  • Portable AI Ultrasound Reducing Maternal Mortality in Sierra Leone

    AI software BabyChecker is a portable ultrasound tool that can be accessed through smartphones and allows community health workers to easily and quickly detect pregnancy risks in rural areas where access to care is difficult. So far, over 20 community health workers have been trained to use the technology, and more than 2,000 pregnant women have been scanned using the BabyChecker app.

    Read More

  • Kenya: County Health Programme Lowering Mother, Child Deaths in Vihiga

    The Boresha afya ya mama na mtoto (improve the health of mother and child) program works to reduce maternal and infant mortality rates by connecting mothers with community health volunteers. These volunteers provide important education on topics like antenatal care and also help to increase access to immunization services. When the group formed in 2018, 531 women died during childbirth or pregnancy, but as of 2023, that number has dropped to 344 thanks to the program’s initiatives.

    Read More

  • Agriculture Helping to Fight Stigma and Discrimination associated wth HIV -Part 2

    Kilimo kimesaidia sana kumaliza unyanyapaa na kutengwa kwa watu wanaouguwa ugonjwa wa ukimwi kaunti ya Kakamega. Baada ya vikundi vya watu wanaouguwa ugonjwa huo kupata mafunzo ya kilimo cha kisasa. Sasa wanapata mazao ambayo huuzia jamii na kwa kufanya hivyo wanakuwa na ukaribu nao.

    Read More

  • Agriculture Helping to Fight Stigma and Discrimination associated wth HIV-Part 1

    Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yamejitolea kuwainua kimaisha na kuwafunza ukulima vikundi vya watu wanaouguwa ugonjwa wa ukimwi kaunti ya Kakamega.Hii ni baada ya waathiriwa hao kuja pamoja kutiana moyo baada ya kuhisi kutengwa na jamii.Mashirika hayo yanawafunza mbinu za kisasa za ukulima zinazowapatia mazao ambayo wanaweza kuuza na kupata pesa za kujikimu kimaisha.

    Read More

  • Family planning helping to reduce maternal, neonatal deaths in Kakamega county Part 2

    Wanaume kaunti ya Kakamega wameanza kutumia mbinu za upangaji uzazi.Hii ni baada ya wao kupata elimu na mafunzo ya upangaji uzazi kutoka kwa idara ya afya ya kaunti.Wahudumu wa afya wa nyanjani wanawaelimisha kuwa mbinu za upangaji uzazi sio kwa wanawake peke yake,bali pia kuna mbinu wanaume wanaweza kutumia kupanga uzazi.

    Read More

  • Community Organization Empowering Widows Economically

    Kupitia mradi wa "Tuwajali Wajane" zaidi ya wajane 800 wamefunzwa na kuwezeshwa kujitegemea kifedha. Wanapata ushauri nasaha, mafunzo ya kibiashara na pia kuunganishwa na hazina za wanawake ambayo wanapewa mikopo ya biashara.

    Read More

  • Tackling youth unemployment in the coastal region through empowerment skills

    Shirika la kijamii la Human Development Agenda linapunguza uhalifu na mzozo unaotokana na vijana kukosa ajira kwa kuwapa ujuzi ili waweze kujitegemea kwa jamii. Kwa muda wa miezi sita hadi minane, vijana hususan wenye hawana kazi ya kufanya wanapewa ushauri nasaha na mafunzo ya kuwasaidia kujikimu kimaisha kama somo la biashara. Tayari vijana zaidi ya 130 wamewezeshwa.

    Read More

  • Family planning helping to reduce maternal, neonatal deaths in Kakamega county Part 1

    Huduma za upangaji uzazi zinazotolewa kaunti ya Kakamega zimesaidia kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga.Wahudumu wa afya nyanjani walianza kuwaelimisha wakazi wa Kakamega kuhusu mbinu za upangaji uzazi.Kwa Sasa visa vya kina mama wanaojifungua na kufariki vimepungua.

    Read More

  • Omega 3 oil from fish waste

    Kikundi cha vijana 4 kutoka kaunti ya Kisumu wanatengeneza mafuta ya kupikia kwa kutumia mabaki/uchafu wa samaki. Uchafu huo unachukuliwa kutoka soko la Jubilee na soko la samaki lililoko Obunga kisumu na kupeleka katika kiwanda chao cha kutengeneza mafuta hayo.Kilo moja ya matumbo ya samaki ina uwezo wa kuzalisha milimita 600 ya mafuta ya omega 3.

    Read More

  • How a combination of interventions is helping mango farmers avoid losses

    Wakulima wa maembe katika Kaunti ya Makueni wamesaidika kupunguza hasara baada ya Serikali ya kaunti kuweka mbinu mbali mbali ili kuwaepusha na hasara hizo zilizoletwa na ukosefu wa soko na mazao kuliwa na wadudu waharibifu. Kwa kuwaundia kiwanda cha kusagia maembe na kuwaelimisha jinsi ya kutumia mitego badala ya kemikali ili kunasa wadudu waharibifu, wakulima wa maembe wameweza kupanua soko yao na kufikia hadi soko za kigeni.

    Read More